Tukio lipo wazi

Mentorship Program na Deogratius Sukambi - November Cohort

ACHA KUOTA, ANZA KUTIMIZA Umechoka kuota bila kutimiza? Una ndoto kubwa, mipango mingi na malengo mazuri, lakini siku zinapita bila hatua ya kweli? Hauko peke yako. Watu wengi wana maono, lakini wachache hupata mwongozo, nidhamu na msukumo wa kuyageuza kuwa uhalisia. Mentorship Program na Deogratius Sukambi ni safari ya wiki 8 ya mabadiliko ya kweli kiakili, kihisia na kimaisha. Programu hii imeandaliwa kukusaidia kutoka kwenye kuota tu na kuanza kuishi maisha unayoyataka kwa vitendo.

🔑 Katika safari hii utajifunza:

Kubadili fikra. Kuondoa hofu, visingizio na imani zinazokurudisha nyuma.

Kujitambua na kutawala hisia. Kujenga utulivu, ujasiri na uthabiti wa ndani.

Kuweka malengo yanayotekelezeka. Kugeuza ndoto kuwa mpango wenye hatua wazi.

Nidhamu na uwajibikaji. Kujenga tabia zinazokupeleka mbele kila siku.

Kuchukua hatua. Kuacha kusubiri "wakati sahihi" na kuanza sasa.

👥 Programu hii ni kwa ajili ya:

Vijana na watu wazima wanaotaka mwelekeo mpya wa maisha

Wajasiriamali na wafanyakazi wanaotaka kukua zaidi

Yeyote aliyechoka kuanza na kuacha njiani

Mawasiliano: +255 746 104 034

Tarehe

Jumapili, 22 Novemba 2026 - Jumamosi, 16 Januari 2027

Mahali

Online na Physical (ofisini)

Nafasi

50 zimebaki

Kiingilio: TZS 750,000

Malipo: Bank Name: Selcom Microfinance Bank Tanzania Limited Account Name: HEALTHMIND CONSULTANCY LIMITED Account Number: 5527110519532 Account Currency: TZS (Tanzanian Shillings) SWIFT Code: ACTZTZTZ

Bonyeza Hapa Kujisajili